SOMA LA 1

Tabia ni nini? na je somo la Tabia au Akhlaq lina wahusu wakina nani ??

Waislamu na dhehebu zao zote, wakristo na dhehebu zao zote, DINI nyinginezo au waso kuwa na dini??

Je somo la Tabia au Akhlaq lina husika na siku ya mwisho tu Siku ya qiyama??